Jifunze kutengeneza Logo nzuri, UWAKI logo Png free Download

0

 Leo Kwa mara nyingine nakuletea moja ya kazi yetu ambayo tumeifanya ya kudesigne logo! na tumetengeneza logo kutoka UMOJA WA WANAUME WA KILOVOKO.ambao kazi yao kubwa ni kuunganisha nguvu kwa ajili maendeleo ya mtaa wao.

Kabla ya kudesign hakikisha unafahamu maana ya kampuni/taasisi/mtu binafsi/au maana ya jina/au shughuli anayoifanya ili kudesign kuendana na maana.

Sisi tumedesign logo hii kwa kuzingatia UMOJA ambayo utaona ishara hiyo ya mikono,UWAKI-kifupi cha Umoja wa wanaume Kilovoko kuhusu Duara na rangi(rangi zingine tumeweka za taifa kuwakilisha kuwa umoja huo upo Tanzania lakini Rangi nyinginge ni katika kuonesha muonekano mzuri.

NB:Hakikisha baada ya kazi yako jaribu kutengeneza muonekano MOCKUP kupitia vitu mbalimbali mfano umetengeza Logo hakikisha unatengeneza Mockup katika Billbords mbalimbali,vikombe,kofia,karatasi au t-shirti nakadhalika kuvutia wateja zaidi.

Unafanya Mockup hakikisha kazi yako inaonekana vizuri na hakikisha unaifanya kwa umakini ili kutoleta kichekesho kwani unaweza onesha kona nyingi kama mduara n.k masomo ya Video kukujia hivi karibuni kupitia hapa Kaa Tayari.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top