JIFUNZE KUTENGENEZA POSTER NA UJIPATIE FEDHA CHAPCHAP UKIWA NYUMBANI

0
Kutokana na changamoto za kimaisha na duniaa kwenda kidigitali huna budi kila siku kujifunza kila kitu kipya katika maisha ya kila siku,kibiashara kiuchumi hata kisiasa.

kwa sasa mtandao huu utakuwa unakuletea baadhi ya kazi ambazo zimefanywa kutokana na wadau waliotuamini na kudesign kazi mbalimbali nasi kama Poster za matukio mbaalimbali kwa ajili ya mtandaoni hasa Instagram,Logo za makapuni mbalimbali ambao wametuamini na kuzitumia logo/utambulisho wa taasisi au kampuni na billboard /mabango ya biashara na matukio.

Leo tunakuletea Flyer ya kutoka Lorge ya Costa Executive Lorge iliyopo mkoani Njombe ambao walituamini na tumefanya kutokana na mahitaji yao.

Ili kuvutia mteja zaidi unatakiwa ukimaliza kudesign kazi yako jaribu kufanya MOCKUP kupitia muonekano tofauti mfano,billboard,kikombe,nguo nk.
kama mteja wako hana utambulisho au nembo au LOGO ya taasisi yake,au biashara zake mshauri aunde utambulisho wake nawe ili kuifanya biashara yake kisasa zaidi.

Hivi ndio muonekano wa kazi ambayo tumeifanya na hapa vipimo vyetu ni sentimita 19.5 kwa 14.8 au nusu ya karatasi ya A4.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top