KUMTONGOZA MWANAFUNZI KUISHI NAE KIUNYUMBA JELA MIAKA MITANO.

0

Umekuwa ukisikia kuhusu Serikali na wadau kukemea tabia za baadhi ya wanaume kujihusisha kimahusiano na wanafunzi na katika jamii zingine zimekuwa zikiwaozesha wanafunzi,sasa leo fahamu sheria inasemaji kuhusu kuishi na mwanafunzi kinyumba /kama mkeo.


Kwa mujibu wa kifungu cha 60A(4) cha sheria ya elimu sura ya 353 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016.

Kumtongoza mwanafunzi, kusaidia au kuwezesha mwanafunzi kuishi na MTU mwingine KIUNYUMBA ni kosa la jinai na ADHABU yake ni miaka 5 jela au faini isiyopungua milioni 5.


Imeandikwa na mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa @yesayajm_

Wa Jungu la sheria Tanzania

0758218269.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top