LOMALINDA CLINIC KUANZA KUTOA HUDUMA KIDIGITI,ISIKUPITE HII FURSA.

0

 Lomalinda Sanitarium Clinic ni Kituo Cha Tiba asili kilichopo Butimba Jijini Mwanza  mita 450 kutoka Butimba Kona barabara kuu iendayo Dar es salaam. 


LOMALINDA ni akina nani? 

Lomalinda tunahusika na utoaji Tiba asilia kabisa za miti dawa. Mazoezi maalum ya viungo Na matibabu ya asili kupitia Tiba Mchuo *Reflexology* tumesheheni  Wataalam wakutosha katika Tiba hizi 

USALAMA WA DAWA.

Dawa tunazozitumia kutibu zimezingatia usalama wa afya ya Binadamu na kutibitishwa na mamlaka husika kutumika kwa matibabu ya mwanadamu,hivyo anza kutuamini leo kama wengine walivyotuamini.

Wasiliana na Dr Aman Ezekiel 

0765 366 133 /0715 943 838 Email.amanezekiel135@gmail.com

Tunafanya Nini?

Tunatoa matibabu ya kina katika Magonjwa karibia yote

Yakiwemo,


✓Saratani

✓Kisukari

✓Bawasiri

✓Uzazi(Wanaume na       Wanawake)

✓Tezi Fume

✓Matizo Ya Homoni

✓Magonjwa ya Ngozi

✓Uume Mdogo/ Nguvu za kiume - Kike

✓Harufu mbaya ukeni/ kwapa

✓Fangasi Aina Zote

✓Uoni Hafifu

✓Hamu ya kula 

✓Ganzi 

✓Cholesterol (rehemu)

✓Kupoteza kumbukumbu

✓kuacha Sigara / pombe/ Bangi

✓kuondoa makovu Mwilini

✓NK.

Je! Mkoani mnawezaje kutuhudumia Wateja wenu?

Hilo lisikupe wasiwasi,ndio maana tumeamua kuwatangazia wananchi Huduma zetu,kupitia mtandao ili kuwafikia wananchi wengi na tunaweza kutoa Huduma kwa ✒mkoba kwa kumfuata Mteja kwa melewano

        ✒,au Mteja kufika ofisini kwetu 

        ✒au tunamtumia dawa kupitia magari.



UMUHIMU WA TIBA ASILI KWA BINADAMU

✓Hazina Madhara 

✓Zimeithinishwa 

✓Tiba ya kudumu isiyorudia

✓Haziharibu Ini 

✓Zimetumika kwa maelfu ya Miaka Duniani

✓Kupona ni Uhakika


Kutumia Mitidawa Sio dhambi rejea zipo nyingi lakini Leo nenda kasome zaidi katika kitabu takatifu cha Bibilia.

Ezekiel 47;12

Mwanzo 1:29

Wasiliana na Dr Aman Ezekiel 

0765 366 133 /0715 943 838 Email.amanezekiel135@gmail.com

Tunakuhakikishia usalama kwa kila Aina ya MATIBABU utakayoyapata hapa kwetu,Na hatujapata malalamiko kutoka kwa wateja wetu waliokwisha kupata huduma.

Na ukilipia Dawa lakini usipate Matokeo Chanya Hautalipia Tena Dawa Tutakubadilishia dawa zingine Bure ili upone Na uwe balozi wetu Bora kabisa.

Ahsante kwa kusoma tafadhali Save namba ya Dokta Aman ipo siku itakusaidia kama sio leo basi kesho kama sio wewe basi ndugu,rafiki au jamaa yako.

Ahsante ukipendezwa share ujumbe huu uwafikie wengi.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top