MWANAMKE MIAKA 56 AMLAZIMISHA MTOTO WA MIAKA 8 KUFANYA NAYE MAPENZI KICHAKANI

0

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia mwanamke mwenye umri wa miaka 56 mkazi wa Kijiji cha Lumuli - Manispaa ya Iringa, kwa tuhuma za kulazimisha kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 8.


Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la Tatu amemsababishia michubuko na maumivu sehemu za siri.

Kamanda polisi mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema mama huyo alimvitia mtoto huyo kichakani na kulazimisha afanye naye mapenzi kwa nguvu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top