MWIJAKU AACHIWA HURU,KESI YA KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU.

0

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake katika kesi ya kusambaza picha za utupu iliyokuwa inamkabili msanii huyo.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne Mei 31, 2022 na Hakimu Mkazi, Rhoda Ngimilanga wakati shauri hilo lilipoitwa kwa ajili ya hukumu.Mwijaku alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria, tukio analodaiwa kulitenda Septemba 17, 2019 na Oktoba 2019, Jijini Dar es Salaam.

SOMA ZAIDI:Mwijaku akutwa na kesi ya akujibu

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top