TUMIA MCHANGANYO HUU KUFANYA MACHO YAKO YAWE MEUPE

0

Watu wengi sana wamekuwa kuwa wakisumbuka na tatizo la macho kuwa mekundu au rangi nyingine ambayo wao hawapendezwi nayo na kuna baadhi wamefika mbali zaidi mpaka kufikia hatua inakubadilisha kiiini cha macho yao na kuweka mboni ya bandi ili tuu wawe na macho meupe. 

Katika maisha ya mwanadamu hakika hakuna tatizo dogo, ila kitu chochote ambacho kinaweza kumkosesha amani basi kitu hicho hugeuka na kuonekana kuwa ndiyo tatizo. 

Na hii ndiyo asili ya kila mtu kuna wengine hutumia mamilioni ya pesa kutafuta suluhisho la kitu ambacho mwingine anaona ni kitu kidogo.

SOMA HII! Fahamu madhara PID na namna ya kujikinga nao

 Hivyo leo nimeamua kuja na somo la jinsi ya kujiandalia dawa ambayo itatibu kabisa tatizo la kuwa na macho mekundu na hatimaye kurudisha macho yako katika asili yake ya weupe. 



MAHITAJI:

1. Kabichi nyeupe robo kilo

2. Carrot kubwa nzuri 3 

3. Maji safi nusu glass.


MAANDALIZI NA MATUMIZI YAKE:

Osha vizuri kabichi, kisha kata kata katika vipande vidogo vidogo kiasi.

 Chukua karoti, zioshe vizuri kisha kata vipande vidogo vidogo pia. Weka vitu vyote hivyo kwenye blender, weka maji hayo nusu glass kisha saga kwa pamoja mpaka inavyokuwa juice kabisa.

Chuja juice hiyo kisha kunywa glass moja asubuhi na jioni kabla ya kwenda kulala.


 Fanya hivyo kwa siku 7 na hakika utaona mabadiliko makubwa katika macho yako kuanzia muonekano, rangi mpaka uwezo wa kuona.

Ikiwa umebarikiwa na Elimu hii share ujumbe huu uwafikie wengi zaidi,tuisaidie jamii yetu kwa pamoja lakini pia ili kuokoa muda tumekuandalia dawa tayari ambayo unaweza kuipata Lomalinda Clinic kwa being nafuu kabisa! Usiwaze save number hizo za Dokta kwa Maelezo zaidi.

SOMA HII! Fahamu madhara PID na namna ya kujikinga nao


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top