WATOTO WATUHUMIWA KUMUUA MAMA YAO KWA KUMLOGA BABA YAO

0

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kutekeleza mauaji ya mwanamke aitwaye Nyanzobe Bukangala, mkazi wa Kijiji cha Chamwabo wilayani Nzega.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea Mei saba (7) ambapo mtuhumiwa huyo anadaiwa alimkatakata mapanga mwanamke huyo baada ya kukodiwa na watoto wa mwanamke huyo.


Ameongeza kuwa watoto hao walikuwa wakimtuhumu mama yao huyo kuwa ndiye aliyemuua baba yao kwa kumroga hivyo wakapanga kulipa kisasi kwa kumuua.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top