WAUGUZI NJOMBE WASHEREKEA SIKU YAO NA WAGONJWA (Video)

0

 Wakati kila ifikapo may 12 Tanzania inaungana na mataifa yote Ulimwenguni kuadhimisha siku ya wauguzi ,Huko mkoani Njombe kada hiyo imeadhimisha siku hiyo kwa kutembelea wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe na kuwapa misaada ya kibinadamu ili kuirejesha faraja tena katika maisha yao kipindi hicki wanachopigania nguvu na uhai wao.


Wakiwa wodini wakipigania maisha yao kutokana na kusumbuliwa na maradhi mbalimbali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe wagonjwa hao akiwemo akiwemo Rafael Peter wanasema kitendo kilichofanywa na kada hiyo iliyokula kiapo cha kuokoa maisha ya watu kimerejesha furaha maishani mwao na kuomba kuendelea kufanya hivyo kipindi chote cha maisha yao.

TAZAMA VIDEO HII YA SIKU YA WAUGUZI ILIVYOFANA NJOMBE

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top