Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya mazungumzo yao kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022.