JIFUNZE HATUA NNE (4) ZA KUSHIKA MIMBA KWA HARAKA

0

 Pale unapotaka kushika ujauzito haraka utagundua kwamba kufanya tendo la ndoa ni zaidi ya kufurahia na kukidhi matamanio ya mwili. Utagundua kwamba unahitaji kufanya vizuri kitandani ili kuongeza chansi ya kushika ujauzito. Kumbuka kwamba hakuna njia ambazo ni sahihi asilimia 100, lakini kujua wakati gani ushiriki tendo na katika staili ipi ni muhimu.

Lini Ushiriki Tendo la Ndoa ili Kuongeza Uwezekano wa Kushika Ujauzito haraka?

Siku nzuri kwa mwanamke kushirki tendo la ndoa ili uongeze uwezekano wa kushika ujauzito ni katika siku za hatari (window period). Siku hizi zinajumuisha siku tano kabla ya siku ya 14 ambapo yai hutolewa,na siku moja baada ya siku ya 14.

Kitendo cha yai kutolewa huitwa ovulation. Kumbuka ili kupata siku ya 14 unahesabu kuanzia pale ulipopata hedhi. Siku ya 14 ni siku ambapo yai hutolewa kwenye ovari na kwenda kusubiri mbegu kwenye mirija ya uzazi.

Siku mbili kabla ya siku ya 14 ni siku zenye uwezekano mkubwa zaidi wa kushika ujauzito. Kwahivo hakikisha unafanya ngono zaidi kwenye kipindi hiki. Yai linapotolewa kwenye ovari linaweza kusubiri kwa masaa 48, lakini mbegu ya kiume inaweza kukaa kwenye kizazi kwa siku mpaka tano kusbiri yai litolewe.

Utajuaje Kama Yai Limetolewa kwenye Mfuko wa Mayai?

Lengo ni mbegu ya kiume ikutane na yai la mwanamke ili urutubishaji ufanyike na mimba itungwe Endelea kusoma kwa Kubofya <<Hapa >>>>
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top