MBEGU ZA UPUPU ZAGEUKA DILI, KILO MOJA YAUZWA ELFU 12,000

0

Wengi wanaamini upupu ni mmea ambao ni maalumu kwa kazi moja tu ya kuwasha lakini Sasa imekuwa tofauti ,upupu umekua zao adimu na ghali Hasa kwa Mkoa wa Katavi baada ya wanunuzi kujitokeza na kununua mbegu kwa shilingi 12000 kwa kilo Bei ambayo ni juu kuliko Mazao yote mkoani humo

Mfanyabiashara mmoja ameshangaza wengi baada ya kujitokeza mtaani ni kutangaza kununua mbegu zaupupu na kuusafirisha mpaka mjini Zanzibar kwa shughuli za kuzalisha malighafi ambazo imeelezwa ni dawa kwa binadamu.

vijana wawili ambao wamechangamkia fursa ya kutafta mbegu za upupu kwa kwenda kutafta kwenye mapori wanaeleza Tamu na chungu ya upupu ukikugusa mwilini huku wakijipatia fedha kiasi Cha shilingi laki 4 na 60 kwa kufanikiwa kupata kilo 39.

Baadhi ya mashuda wa mbegu za upupu zikinunuiwa na wauzaji kulipwa fedha kubwa ,wameshangaa nakuhamasika kuingia porini kwa ajili ya kuvuna zao hilo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top