MKE AMKATA NA WEMBE SEHEMU ZA SIRI MUME WAKE AKIWA USINGIZINI

0

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Mwanamke mmoja ajulikanaye kwa jina la Hellen Mchahuru (40) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumkata na wembe sehemu za siri (Korodani ya kushoto) mumewe Vintan Luhiva (42).

Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma Joseph Konyo  amesema mtuhumiwa aliweza kufanya tukio hilo wakati majeruhi akiwa amesinzia, ameeleza kuwa mtuhumiwa alichukua wembe na kumjeruhi kwa kumkata korodani moja upande wa kushoto. 


Katika taarifa iliyochapishwa na chombo cha habari cha Nipashe imeeleza kuwa kufuatia Mwanaume huyo kupata majeraha makali, Kamanda amesema kuwa majeruhi amelazwa kwenye hospitali ya Wilaya ya Tunduru akipatiwa matibabu, ameongeza kuwa mtuhumiwa anayedaiwa kutenda tukio hilo yupo mikononi mwa Polisi na hatua za kumpeleka Mahakamani zinafuata baada ya hatua za upelelezi.

Soma zaidi>>>>>

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top