MUME ADAIWA KUMUUA MKEWE, ATENGANISHA KICHWA NA KIWILIWILI

0

Bundala Mathew, Mkazi wa Mtaa wa Nyashimbi Mkoani Shinyanga anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumuua Mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga kisha kutenganisha viungo vya mwili, ikidaiwa chanzo ni wivu wa mapenzi.

Inadaiwa mtuhumiwa alivitupa viungo ya marehemu sehemu tofauti. 

Mtoto wa Marehemu, Ezekiel Bundala alishtukia baada ya Mama yake kutoonekana kwa siku mbili na kuona viatu vya Baba yake na beseni vikiwa na damu mbichi


Baada ya kutoa taarifa Polisi mtuhumiwa alikamatwa Mei 27, 2022. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, George Kyando amesema uchunguzi unaendelea

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top