MWANAMKE AUAWA HOTELINI TEGETA - DAR

0

Mwili wa mwananmke mmoja ambaye bado hajafahamika umekutwa katika chumba cha hoteli ya Lavy Park iliyopo Tegeta kwa Ndevu Jijini Dar es Salaam.


Taarifa za awali zinasema kuwa mwanamke huyo aliingia katika chumba cha hoteli hiyo jana akiwa na mwanaume mmoja anayesadikika kuwa ni mpenzi wake.

Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Tegeta , Mohamed Mawala amesema marehemu si mkazi wa eneo lake na hivyo amewataka wananchi wa maeneo ya Jirani kwenda katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwaajili ya kumtambua Marehemu.

Aidha amewataka wamiliki na wasimamizi wa hotel izote katika eneo lake kuanza utaratibu wa kuorodhesha majina halisi ya wateja wanapotaka kukodisha vyumba ili kurahisisha kuwabaini wateja wanaotenda uhalifu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top