SERIKALI YATANGAZA KUSHUSHA BEI YA MAFUTA... TAZAMA PUNGUZO HAPA
Henrick Idawa
01 June
0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli nchini . Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano Juni 1, 2022