
Kwanini una kibamia? Unajuaje kama una uume mdogo kuliko kawaida?
Tafiti zinasema kwamba wanaume wengi wanatamani sana kuwa na maumbile makubwa ya uume. Na wanaume wengi wanaamini kwamba wana uume mdogo wakati ukweli na kwamba size waliyonayo ndio inayofaaa.
Makala hii itachambua kwa kina sayansi inayofanya uwe na uume mdogo na kuitwa kibamia pamoja na sababu zinazopelekea uwe na kibamia.
Urefu wa uume kikawaida unatakiwa kuwa inch 3.6 mpaka inch 5.3 pale uume ukiwa aumesimama.
Kama ulikuwa unatafuta kwa muda mrefu namna gani sahihi ya kupima uume wako, hizi ndio hatua sahihi za kuchukua kufanya vipimo
- utahitaji kuwa na tape au rula kufanya kipimo
- uume ukiwa umesimama, anza kupima kwenye shina la uume kuelekea mbele.
- soma namba inayoonekana kwenye rula mwishoni mwa uume yani kwenye kichwa, hiyo ndio size ya uume wako. SOMA ZAIDI HAPA>> au Chati nasi WhatsApp Now