Mwenyekiti Mstaafu wa Halmashauri ya Mbozi Erick Minga amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti CCM Wilaya ya Mbozi.
Minga amechukua fomu hiyo katika Ofisi za chama cha mapinduzi Wilayani Mbozi mkoani Songwe hii Leo,Tazama picha za tukio zima hapa!
Ikumbukwe kuwa Uchaguzi unatarajiwa Kufanyika mwezi wa kumi tarehe za Mwanzo na Mchakato wa kuchukua fomu umeanza leo Nchi nzima Kwa chama cha Mapinduzi.