FAHAMU JINSI YA KUMTIBU MWANAO ANAPOPATA MZIO (ALLERGY) YA CHAKULA

0

Karibu msomaji katika mtandao huu wa IDAWA ONLINE,tunajali afya yako leo tumeona tukuletee somo kuhusu kwanini watu hupata MZIO au kingereza wanasema ALLERGY baada ya kula chakula fulani,Lakini leo tutazungumzia zaidi mzio kwa watoto na nini ukifanya ukiona mwanaonao anapata Mzio baada ya kula chakula fulani.

Kwanza tufahamu vyakula vinavyoweza kukusababishia mzio kwa mwanao navyo ni vyakula vyenye protein, vinavyosababisha mzio kwa watoto au allergy.

Vyakula hivyo ni pamoja na;

-Samaki

-Nuts

-Mayai

-Maziwa

Nyama nakadhalika, Lakini Chakushangaza , hivyo vyakula  *HAVISABABISHI ALLERGY🤗. WALA HAVINA SHIDA kwa mtoto wako akila,sasa leo nitakusaidia usichoke au chat nami whatsapp kwa maenelezo zaidi. WHATSAPP CHAT

Mtoto akila samaki kwa mfano, unakuta mwili wake hauna kimeng'enyo/enzyme ya kumeng'enya ile protein iliyoingia (iwe ya samaki, nuts etc). So mwili au Immune system inajipanga kupigana na kilichoingia (protein). 

Hivyo, immune system inazalisha ant-bodies (kingamwili), ambayo ni imezalishwa na mwili, kupambana na kikichoingia. Hivyo, hii antibody ikianza kupambana na protein ile ya samaki etc, inazalishwa kemikali ambayo inepelekea kuwa na MZIO/allergy. Mwili kuvimba, rashes, kujikuna, kututumka etc.

So hapa mwili unaoverreact na protein iloingia kwa sababu haiwezi kumeng'enywa.

 *NINA SULUHISHO*  mwili unakua umeshindwa kutengeneza vimengenyo vya kumengenya hiyo protein,   habari njema  virutubisho  vinawezesha mwili kutengeneza vimengenyo  vinavyotakiwa na kwa haraka na unaweza kusoma maelezo zaidi hapa (SOMA HAPA)

Kama ujuavyo Virutubisho hujenga nwili hivyo mfano multi vitamin na protein  nzuri sana ambayo ina madini na vitamini 23  inatokana na mimea (plant protein), inaondoa allergy zote pindi unapotumia na kama unahitaji kwa ajili yako na mwanao usisite kunipigia 0712171033 tuma sms au piga Afya ya mtoto na mzazi.

KWANINI NI MUHIMU MWANAO KUPATA VIRUTUBISHO?

kumpa hamu ya kula, uzito mzuri, mifupa imara, ukuaji  wa utambuzi cognitive development, kuondoa kuugua mara kwa mara na mafua yasiyoisha na nk

Karibuni sana kwa bidhaa za watoto wenye Allergies zote, Eczema/pumu ya ngozi, hawapendi kula na uzito mdogo (twende pamona na mimi).Nipigie nina suluhisho 0712171033 au tembelea ukurasa wetu wa Instagram wa Afya ya Mtoto na Mzazi

Tafadhali tunaomba Share with friends 🙏🙏Sharing is caring

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top