Club ya Yanga SC hatimae usiku huu imemtambulisha Staa wa Asec Mimosa ya Ivory Coast na Timu ya Taifa ya Burkinafaso Stephane Azizi Ki (26) kuwa ni mali yao rasmi.
HATIMAE YANGA WAMTAMBULISHA AZIZ KI USIKU MWINGI KWA MBWEMBWE KIBAOOOOOO!!!!!!
15 July
0
Club ya Yanga SC hatimae usiku huu imemtambulisha Staa wa Asec Mimosa ya Ivory Coast na Timu ya Taifa ya Burkinafaso Stephane Azizi Ki (26) kuwa ni mali yao rasmi.
Share to other apps