HII HAPA ORODHA YA WAKUU WA MIKOA WALIOACHWA KWENYE UTEUZI LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Julai 28, 2022 amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo,huku akiwaweka kando 9 akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David KafulilaOrodha ya wakuu wa mikoa walioachia nafasi Zao

1. Stephen Kigaigai - Kilimanjaro
2. David Kafulila - Simiyu
3. Mhandisi Robert Gabriel - Mwanza
4. Ally Hapi - Mara
5. Marco Gaguti - Mtwara
6. Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge - Ruvuma
7. Meja Jenerali Charles Mbuge - Kagera
8. Binilith Mahenge - Singida
9. Joseph Mkirikiti - Rukwa.

Hebu soma maji ya walioteuliwa ukuu wa Mkoa na wale waliohamishwa vituo vyao vya kazi.

TAZAMA VIDEO YA UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA LEO ILIYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top