Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amelazimika kumfukuza kazi Mkandarasi Enock Kyando aliyepewa kazi ya kukamilisha Zahanati ya Kijiji cha Kitula Kata ya Kipagalo
Hii imejiri baada ya Timu ya Menejimeti ya Wilaya (CMT) imefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya Afya Wilayani Makete.
TAZAMA VIDEO YA DED HAPA BOFYA