RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI,WABURA IGP MPYA SIRRO KUBWA BALOZI NA KINGAI DCI

0


Rais Samia amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camilius Mongoso Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta na Mkuu wa Jeshi la Polisi akichukua nafasi ya Simon Sirro.

Katika taarifa iliyotolewa kwa Umma na Zuhura Yunusi Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Julai, 2022 amelanya uteuzi kama ifuatavyo.

i) Amenmpandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura,aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DC) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi.

ii) Amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

i) Amempangia kituo Balozi Lateni Jenerali Mathhew Elward Mkingule kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.

iv) Amemteua Dkt. Suleiman Haji Suleian kuwa Balozi. Dkt. Suleiman ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Julai, 2022 na uapisho utalanyika  tarehe 20 Julai, 2022 saa 0.5:00 Asubuhi Ikulu, Chamwino Dodoma.

Wakati huo huo, Mhe. Rais amewateua waluatao kushika nyadhifa mbalimbali
kwenye Jeshi la Polisi: -

i) Amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Liberati Sabas Materu kuwa Kamishna wa Fedha na Logistiki. Anachukua nafasi ya (CP) Hamad Khamis Hamad.

 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top