ATUMBULIWA SIKU MOJA KABLA YA KUAPISHWA KUWA MKUU WA MKOA

0

 Siku tatu baada ya Dk Raphael Chegeni, kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, uteuzi wake umetenguliwa.


Taarifa iliyotolewa Jumapili Julai 31, 2022 saa 1 usiku na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus imesema Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi huo na kumteua Meja Jenerali Suleiman  Mzee kuchukua nafasi hiyo.




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top