Watu ishirini akiwemo diwani wa kata ya Lulindi Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamekamatwa na jeshi la polisi Mkoani hapa kwa kukutwa na Viuatilifu mbalimbali vyenye ruzuku ya serikali kinyume cha Sheria.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP Isack Mishi amewaambia waandishi wa Habari kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa Wilayani Masasi katika oparesheni ambayo imefanywa na polisi Agosti 16 .
*Mtandaoni kuna #fursa nyingi sana*Je umewahi kujiuliza lile #bundle lako ambalo unijiunga kila siku au wiki na hata mwezi limekunufaisha vipi? Au ndo vile unaingia mtandaoni kusapoti ndoto na maono ya wengine🌝? Basi badili mtazamo wako Leo anza kutimiza ndoto zako LeoJisajili na fursa <<hapa>>>>
Amesema uchunguzi wa awali umebainisha kuwa wapo pia wafanyabiashara wanaowarubuni wakulima kuwauzia Viuatilifu hivyo kwa bei ya chini Kisha wao kwenda kuviuza kwa bei ya juu zaidi katika maduka yao.