Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hadi sasa hawaju kuwa kuna uwezekano wa kutengeneza pesa mtandaoni basi unahitaji kutazama video zangu zilizotanguliaa au bofya hapa VIDEO ZA KUTENGENEZA PESA.
Kupitia Video hii ya siku ya leo nitaenda kuonyesha njia 3 za uhakika ambazo unaweza kuzitumia kutengeneza pesa mtandaoni hadi $100 kila siku au kila mwezi kulingana na uwezo wako wa kufanya njia hizi.
a)kupitia kuangalia video bofya hapa
b)kudownload App (Play Store) bofya hapa
c)Kushare link mbalimbali bofya hapa.
Ili kujifunza Tazama video hii mpaka mwisho utajifunza mengi kama utakuwa na swali usisahau kucomment hapo chini au chini ya Video youtube.