Kamati za kusimamia ofisi za viongozi wakuu imesisitiza kwa mabaraza ya miji wanasimia vyema rasilimali fedha za miradi wanayoiyanzisha ili iweze kukamilika kwa wakati na kuleta tija kwa wananchi.
Wajumbe wa kamati hiyo chini ya mwenyekiti wake Machano Othman Said, ametoa ushauri huo baada ya kukagua miradi ya ujenzi wa milango ya maduka katika baraza la mji Chake Chake na kutembelea soko la samaki mtemani.
Wamesema ni wajibu wa mabaraza hayo kujipanga vizuri kuhakikisha yanasimamia vyema fedha za umma katika kutekeleza miradi kwa
kiwango cha ubora ili kuweza kudumisha
kwa muda mrefu na kutatua matatizo ya kibiashara.
Mkurugenzi wa Baraza la Mji Chake Chake Ndg. Maulid Mwalimu Ali.
ULITAZAMAA VIDEO HII YA ORODHA YA WALIOTUMBULIWA NA RAIS SAMIIA? U RC