Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga,Nassib Bakari Mmbaga kwa utendaji kazi usioridhisha.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MUHEZA ASIMAMISHWA KAZI -BASHUNGWA
31 August
0
Tags
Share to other apps