MWALIMU AVAMIWA USIKU APORWA KISHIKWAMBI PAMOJA NA FEDHA KATAVI

0


Karani wa Sensa Kata ya Majimoto, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Kenan Kasekwa, amevamiwa usiku wa kuamkia leo na kuporwa kishikwambi cha kutunzia kumbukumbu za sensa.


Akithibitisha tukio hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Catherine Mashala, amesema karani huyo ambaye ni mwalimu, alivamiwa na mtu aliyevunja kitasa na kuingia chumbani, kisha kubeba kifaa hicho, fedha kiasi cha Sh 760,000, redio na vitu vingine.
-
"Inavyoonekana alipuliza dawa ya kuwalaza usingizi yeye na familia yake, yule mwizi aliingia chumbani akabeba ka lasketi, kishikwambi, fedha alizozikuta, simu na redio, "alisema Mashala.

Chanzo; Habarileo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top