RC MWASA AONYA WATUMISHI WAZEMBE NIKIWASHUGHILIKIA MSINUNE

0

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatuma Mwasa amewaonya watumishi wazembe mkoani hapo kuacha tabia hiyo na badala yake kuwa waadilifu.

RC FATUMA MWASA

Akizungumza wakati akikabidhiwa ofisi hiyo na aliye mtangulizi wake Martin Shigella ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita,Fatuma Mwasa amesema watumishi wote katika mkoa huo wanatakiwa kwenda na mdundo wa mziki unaopigwa kwa sasa.


Aidha Mwasa amesema katika uongozi wake hataki kusikia masuala ya michakato badala ya utendaji wa kazi huku akieleza kuwa watumishi atakao washughilikia wasinune.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigella ameeleza mambo kadhaa atakayoyakumbuka kutoka kwa wananchi wa Mkoa wa Morogoro.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top