TAZAMA CHALAMIKA AKIKABIDHIWA OFISI KAGERA

0

 

Makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kati ya Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) na Albert John Chalamila (kulia) yakiendelea. Hafla ya makabidhiano kati yake na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Meja Jenerali Charles Mbuge  Agosti 04, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. 
Kulia ni Meja Jenerali Charles Mbuge akisaini kitabu cha makabidhiano na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Albert John Chalamila akisaini.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Albert John Chalamila akizungumza
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera .
Picha na Mbuke Shilagi Kagera.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top