Klabu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni siku kadhaa kuelekea kwenye kilele cha wiki ya Simba.
Jezi hizo zinazosambazwa na kampuni ya Vunjabei zimeanza kuuzwa rasmi leo sehemu mbalimbali nchini.
𝐔𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀 𝐒𝐀𝐍𝐀 AU UNYAMA KIDOGO?
![]() |
Jezi za Simba SC msimu wa 2022/23. Mtoko wa Watanzania wote! |
