UKWELI KUHUSU KUTENGENEZA PESA MTANDAONI....JIFUNZE HAPA

0

Watu wengi hasa Tanzania wamekuwa hawaamini kuwa unaweza kuwekeza na kutengeneza pesa kupitia makampuni mbalimbali mtandaoni,ila ukweli ni kuwa watanzania bado wanahitaji kuelimishwa juu ya digital job! kwa kuwa na digital skills mbalimbali na namna ya kuzitumia.


Leo nitakufundisha namna unavyoweza kutengeneza pesa kupitia Kampuni la KALYNDA E-COMMERCE CO LIMITED NI NINI?

Hii ni kampuni (platform) inayojishughulisha na biashara za mtandaoni, kazi yake ni kutangaza biashara au bidhaa za makampuni makubwa duniani kote na kuwalipa kamisheni/faida wale waliojiunga.
Kuna njia kuu 2 za kuingiza kipato cha pesa kupitia kalynda E-commerce Co Limited
1. Hii tunaiita (buying products:) yaani kununua bidhaa. Tunaposema kununua bidhaa haimaanishi kwamba tunatakiwa tununue bidhaa halisi na zitufike sisi mikononi mwetu. HAPANA. Hii tuna maanisha kwamba ukiwa kama mfanyakazi/member wa kalynda utaweka mtaji wako na kupitia mtaji huo ndio utanunua bidhaa na kuzifanyia matangazo mtandaoni na baada ya kumaliza kuzitangaza utalipwa mapato hayo ya siku.
Mtaji wa chini shilingi 20,000/= na
Mtaji wa juu au wa mwisho wa kuanzia ni shilingi 200,000/=
Faida utapata gawio la 4% ya kila bidhaa utakayo itangaza, hivyo basi kwa siku utatangaza biashara 20 Tu na kupitia shilingi 20,000/= uliyowekeza kama mtaji kwa siku iyo uliyofanya matangazo kampuni itakuingizia shilingi 800 kwa kufanya ivo kila siku.
Kwa kuendelea kudanya hivyo kila siku hadi mwisho wa mwezi kampuni itakulipa zaidi ya shilingi 24,000/= kama faida, hivyo basi shilingi 20,000/= yako uliyoweka kama mtaji ukijumlisha na 24,000/= kama faida mwisho wa mwezi utakua umeingiza kiasi cha zaidi ya shilingi 44,000/=
Na kama utaeka kiwango cha mwisho/juu cha (VIP 1 ) ambacho ni shilingi 200,000/= kwa siku kampuni itakulipa shilingi 8,000/= na kwa mwisho wa mwezi faida itakua ni shilingi 240,000/= ukijumlisha na shilingi 200,000/= yako ya mtaji jumla utakua na kiasi cha zaidi ya shilingi 440,000/= kwa mwezi.

Kama uko tayari kuwekeza bofya link hapo chini kujisajili,usijisajili kama huna mtaji utakuwa unapoteza muda tu! kama una swali kabla ya kujiunga piga /Whatsapp 0753319200
KUALIKA MARAFIKI:
2. Njia hii ni lazima ualike marafiki, ndugu, jamaa na mtu yoyote atakae tokea kupenda kufanya kazi kwenye kampuni.
Endapo ukimualika mtu kwenye kampuni utapewa gawio kwa watu ulio waalika.
Gawio la kuanzia - 3% mpaka 12%
mfano:
A, atamualika B, B atamualika C, C atamualika D
A, atapata gawio la 12%, kutoka kwenye kipato cha B
A, ata pata gawio la 6%, kutoka kwenye kipato cha C
A, ata pata gawio la 3%, kutoka kwenye kipato cha D
Hakuna masharti au idadi maalumu ya kualika marafiki kadri utakavyoalika ndivo utakavyolipwa zaidi na kampuni.
Kama utakuwa na swali lolote usisite kuniuliza na kunipigia 075331 9200
Link ya kujiunga 👇🏼

NB:Mtandao huu hauna ubia na kampuni hilo ila tunakuja elimu kuhusu fursa mbalimbali zilizopo,unaweza kuzitumia au kukataa.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)


#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top