WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA GUINEA AFARIKI AKIWA GEREZANI BAADA YA KUUGUA KIHARUSI.

Hassan Msellem
0

Waziri mkuu wa zamani wa Guinea Lounceny Camara, amefariki dunia akiwa amelazwa hospitali mara moja baada ya kufungwa jela mwezi Mei 2022, huku chanzo cha kifo chake kikitajwa kuwa ni maradhi ya kiharusi.

*Mtandaoni kuna #fursa nyingi sana*
Je umewahi kujiuliza lile #bundle lako ambalo unijiunga kila siku au wiki na hata mwezi limekunufaisha vipi? Au ndo vile unaingia mtandaoni kusapoti ndoto na maono ya wengine🌝? Basi badili mtazamo wako Leo anza kutimiza ndoto zako Leo
Jisajili na fursa <<hapa>>>>

Familia ya Lounceny Camara ilikata rufaa mahakamani bila ya mafanikio ili Camara aruhusiwe kusafiri nje ya nchi kupata matibabu, ameongeza kaka aliyekuwa akitoa taarifa.

Lounceny Camara, aliekuwa na umri wa miaka 62, ni kati ya mawaziri wa zamani wa maafisa waandamizi walioshtumiwa ubadhirimu wa pesa za umma na kufungwa jela baada ya jeshi kumuondoa madarakani na Rais wa zamani wan chi hiyo Alpha Conde mwaka 2021.


Rais wa sasa wa Guinea, Kanali Mamady Daumbuoya.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top