FAHAMU CHANGAMOTO NA SULUHISHO LA MASUALA YA UZAZI KWA WANAWAKE

0

Afya ya uzazi limetajwa kuwa tatizo linaloongoza kwenye vifo vya wanawake waliohitimu umri wa kuzaa duniani huku wanawake 800 wakiaga dunia kila siku wakati wanapojifungua. 


Pia karibu vijana bilioni 1.8 huwa wanahitimu umri wa kuzaa bila ya wao kufahamu huduma wazohitaji ili kujilinda

Leo tutakufundisha na kukueleza baadhi ya mambo yanayohusu Uzazi kwa wanawake,Tafadhali soma mpaka mwisho au Nipigie Berinda Kashangaki kwa no. 071217 1033

*Changamoto za masuala ya uzazi kwa wanawake*

▪️Maumivu wakati wa hedhi

▪️Miwasho au fungus sehemu za siri

▪️Kutokwa harufu, uchafu na vipele sehemu za siri

▪️UTI SUGU inayojirudia mara kwa mara

▪️Uvimbe au kuziba kwa mirija ya uzazi/mayai

▪️Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage)

▪️Kutokushika ujauzito 

▪️Kukosa hamu ya tendo la ndoa au kupatwa maumivu makali wakati wa tendo la ndoa


*Madhara ya mwendelezo wa matatizo hayo*

▪️Inasababisha magonjwa ya hormonal imbalance

▪️Yanaweza kusababisha ugumba 

▪️Kukosa furaha ya ndoa na migogoro isiyokoma ndani

▪️Inaweza kusababisha ugumba/uwezo wa kutokushika mimba maisha yako yote

*💥Suluhisho la changamoto hizo*

Tunazo TIBA LISHE nzuri sana zilizofanyiwa utafiti na zinazotambulika duniani kote...*zitakazoondoa kabisa changamoto yako katika masuala ya uzazi*

👉Rudisha hadhi ya mwili wako, heshima ya ndoa/mahusiano yako na furaha ya familia...

👉Share kumsaidia rafiki, ndugu, mke au mwenzi wako kurudisha furaha na tabasamu katika maisha yake

👉Tuna virutubisho pia kwa ajili ya changamoto za uzazi kwa wanaume...

KWA MAWASILIANO WASILIANA NAMI LEO KWA NO.071217 1033

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top