GARI NYINGINEE YA MAGAZETI YAUA NA KUJERUHI

0

 

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota hiace lililokuwa limebeba magazeti kuligonga kwa nyuma scania wakati dereva akijaribu kulipita alfajiri ya Septemba 7, 2022, katika eneo la Kwedizinga wilayani Handeni mkoani Tanga.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Safia Jongo, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo hii leo na kusema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa hiace Fransic Akwilini Masawe (36), kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake na hivyo kujikuta akiligonga lori.
*AMKENI AMKENI AMKENI KUMEKUCHA*🐓🐓  
ASIEFANYA KAZI NA ASILE💪💪💪💪  
1:washa simu yako 
 2:washa data ya simu yako  
3:Fungua /Jiunge na KALYNDA APP au JIUNGE HAPA>>yako then log in katika account yako.  
4:Bofya neno HOME kisha VIP 1/2/3 alafu Bofya buy kisha like na submit mara 20 bidhaa🙏**ukimaliza  
5: Bofya Personal au log out kisha log in Angalia faida yako!
 Kisha tabasamu endelea kualika watu.  ✅✅✅ JISAJILI KALYNDA>> 👊🥰
"Ukiangalia ajali hii chanzo kikubwa ni dereva wa hiace ambaye alitaka kulipita gari lililopo mbele yake ndipo alipokutana na lori na kuligonga, hivyo nitoe wito kwa madereva kutiii sheria za usalama barabarani kuepukana na ajali ambazo zinaweza kuepukika" amesema RPC Jongo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top