Mwalimu wa Skuli ya Msingi Madungu aliefahamikwa jina la Ali Makame Khatib mwenye umri wa miaka 25, mkaazi wa Matuleni Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, amepelekwa rumande kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 11 jina limehifadhiwa.
Kosa la kubaka kifungu cha Sheria nambari 108(1)(2)(e) na 109(1) Sheria nambari 6 ya mwaka 2018 Sheria ya Zanzibar.
soma hii; FAHAMU CHANGAMOTO NA SULUHISHO LA MASUALA YA UZAZI KWA WANAWAKE
Ilielezwa mahakamani hapo na mwendesha mashtaka wa Serikali kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Seif Mohammed Khamis, kuwa Agosti 12, 2022 majira ya saa 11:30 za jioni huko katika skuli ya Msingi Madungu, Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba, mshitakiwa alimbaka msichana mwenye umri wa miaka 11 anaesoma darasa la tano ambapo ni kosa kisheria.
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mashahidi Septemba 5, 2022
*AMKENI AMKENI AMKENI KUMEKUCHA*🐓🐓ASIEFANYA KAZI NA ASILE💪💪💪💪1:washa simu yako2:washa data ya simu yako3:Fungua /Jiunge na KALYNDA APP au JIUNGE HAPA>>yako then log in katika account yako.4:Bofya neno HOME kisha VIP 1/2/3 alafu Bofya buy kisha like na submit mara 20 bidhaa🙏**ukimaliza5: Bofya Personal au log out kisha log in Angalia faida yako!Kisha tabasamu endelea kualika watu. ✅✅✅ JISAJILI KALYNDA>> 👊🥰