MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU ACHOMA NYUMBA YAO KISA KAPEWA HELA KIDOGO YA MATUMIZI

0

Kutoka nchini Kenya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Kaunti Ndogo ya Marakwet Magharibi nchini Kenya ameingia mitini baada ya kuchoma nyumba ya familia kutokana na kutofautiana na baba yake kuhusu pesa za matumizi ya shuleni ambazo alimpatia.

Picha kutoka Maktaba
Mwanafunzi huyo alikataa KSh1000 sawa na Tsh 19,100 kwa ajili ya matumizi alizopewa na baba yake, Jacob Kilimo ambapo alidai KSh 2000 zaidi ya TSh. Elfu 38 ambazo mzazi huyo alikataa kumpatia kwa madai kuwa wapo ndugu wengine ambao walipaswa kwenda shule na pia wanahitaji usafiri na ada ya shule.

HIVI ULITAZAMA VIDEO HII KAMA BADO BOFYA KUTAZAMA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top