"WAZAZI ZAENI WATOTO MUTAKAOMUDU KUWALEA" DC JOKETE

Hassan Msellem
0

Mkuu wa Wilaya Temeke Jokete Mwigelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watamudu kuwalea ili kuepusha ili kuepusha Nchi kuwa idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambapo wengine wanaamua kujiingiza katika vitendo vya uhalifu ikiwemo Panya Road.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokete Mwigelo.

DC Jokete, ametoa kauli hiyo Leo September 26, 2022 kwenye Maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango yaliyoadhimishwa katika hospitali ya Mbagala iliyopo manispaa Temeke.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top