13 WASHIKILIWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA DODOMA

0

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikiliwa watu 13 kwa tuhuma za mauaji wa mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) aliyeuawa an watu wasiojulikana mnamo usiku wa kuamkia Oktoba 4, 2022 nyumbani kwao jijini hapa ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika kwa mtihani wa Taifa wa kumaliza Darasa la Saba.Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Martin Otieno ameeleza kuwa tayari ujenzi wa kituo cha Polisi eneo la mtumba tayari umeanza na jeshi hilo linaendelea kufanya doria pamoja a shughuli nyingine za kiulizi kwenye eneo hilo.

TAZAMA VIDEO HII


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top