ATUHUMIWA KUMLAWITI MDOGO WAKE WA MIAKA MIWILI MKOANI MTWARA

0

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka (13), mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ta Mtwara, kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka Miwili (Ke) mkazi wa kijiji hicho, ambaye ni mtoto wa mama yake mkubwa.Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP Nicodemus Katembo, amesema mtuhumiwa tayari yupo mikononi mwa Polisi huku upelelezi ukiendelea kabla ya kufikishwa Mahakamani.

“Alimlaghai, akamuingiza chumbani kwake kisha akamvua nguo na kumlawiti”—ACP NICODEMUS KATEMBO-Kaimu Kamanda wa Polisi Mtwara.

“Alipomuingilia kiukweli amemuingilia njia sio, amemuingilia kwa nyuma, kiukweli mtoto amemuumiza.”—SALMA-Dada wa Mtoto.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top