DC APIGA MARUFUKU WATOTO KUFUNGWA HIRIZI

0

 

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa amewataka Wazazi kuwapeleka Hospitali Watoto wanaozaliwa wakiwa na changamoto kama vile kuwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi na kubaki nao nyumbani.


"Kuna wakati unaona Mtoto kazaliwa akiwa na changamoto tamaduni zetu baadhi yao unakuta Mtoto badala ya kupelekwa Hospitali amekimbizwa kufungwa mahirizi miguuni na shingo tuondokane na hizo dhana badala yake tuwapeleke Watoto Hospitali ili wapatiwe matibabu”

Mgandilwa amesema hayo Tanga kwenye maadhimisho ya siku ya Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi Kiwilaya, ambapo kitaifa yafanyika October 25,2022.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top