DUNIA IMEISHA; KAKA AWAPACHIKA MIMBA DADA ZAKE WATATU

0

 

Mkulima mmoja  amewashangaza wengi baada ya kubainika kuwa aliwapa mimba dada zake watatu wa tumbo moja.

Ripoti zinasema kuwa ndugu hao wanne walilelewa na wazazi wakali na hawakuwa na uhuru mkubwa wa kutoka nje ama kujumuika na marafiki au majirani.

Dada hao watatu walipofikisha umri wa kutaka kujisimamia wanadaiwa kuanza kuwa na uhusiano wa karibu na kaka yao mara kwa mara bila wazazi wao kufahamu lolote hadi wakati walipopata mimba.

Wazazi hao ambao ni Wakristo walishtuka kwamba binti zao walikuwa wajawazito licha ya kuwa wakali kwao. Lakini walipouliza ni nani aliyehusika, jibu lao la kushangaza lilimfanya mama huyo azimie.

Ilibainika zaidi kijana  huyo alianza kulala na dada yake mzaliwa wa pili na baadae kuanza kuchumbiana na dadake mkubwa.

Dada wa mwisho pia ambaye alijua kilichokuwa kikiendelea pia alisisitiza kulala na nduguye na mwishowe mzaha mzaha ukatunga usaha.

Mwishowe, dada hao watatu walipachikwa ujauzito na kaka huyo wao na hatimaye wakajifungua vizuri.

Wazazi wao hawakuwa na lingine ila kukubali hali na kujilaumu kwa kuwa wakali na binti zao.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top