HATIMAYE YANGA WATANGAZA MUSTAKABALI WA NABI

0

Baada ya kuenea kwa uvumi kwamba viongozi wa Yanga SC wakati wowote watamfuta kazi Kocha wao Raia wa Tunisia Nassredine Nabi kwa madai kadhaa, CEO wa Yanga SC Andre Mtine amekanusha uvumi huo na kusema Nabi bado yupo Yanga.


“Niwaombe washabiki na wanachama wetu kuwa na utaratibu wa kufuatilia taarifa za club yetu kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari, tuna Yanga App na website ambazo zimekuwa zikitoa taarifa zetu kwa usahihi”>>> Andre Mtine

Mengi yanasemwa kuhusiana uvumi huo lakini awali zilidaiwa kuwa Nabi atafutwa kazi kutokana na kutosikiliza ushauri wa wenzake wa benchi la ufundi sambamba na kutokubaliana na baadhi ya sajili za wachezaji wapya Yanga wakati wa usajili.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top