Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika moja ya shule ya msingi wilayani humo, anadai kufanyiwa vitendo hivyo mara tatu baada ya kufariki kwa mama yake ambaye alikuwa ni mke wa Pascal Anatory.
JELA KWA KUMBAKA MTOTO WAKE WA KAMBO
24 October
0
Mzee wa miaka 64, Pascal Anatory ambaye mkazi wa kijiji cha Kinyariri kata ya Buhemba Wilaya ya Butiama mkoani Mara, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa kambo mwenye umri wa 14.
Tags
Share to other apps