KIJANA ACHOMWA NA UJI WA MOTO NA SHANGAZI YAKE KWA KULA MBOGA

0

 

Mwanamke  mmoja anaefahamika kwa jina la Violet Masawe mkazi wa mtaa wa Bogini  Wilayani  Moshi Mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la  Polisi kwa tuhuma za kumchoma kwa uji wa  moto mtoto wa kaka yake aliyetambulika kwa jina la Elvis Shoo mwenye umri wa miaka 27.


Inaelezwa kuwa  kuwa Kijana Elivis alichukua kijiko cha maharage na kula pasipo kumhusisha shangazi yake ndipo yalipotokea majibizano yaliyopelekea  kijana huyo kumwagiwa uji wa moto tukio ambalo limemsababishia  kupata Majeraha  katika  Maeneo ya mwili wake ikiwemo eneo la shingoni na hivi sasa  amelazwa katika hospitali ya Pasua mjini Moshi kwaajili ya kupatiwa Matibabu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top