KINACHOENDELEA KALYNDA, MITAMBO IMEZIMWA ,PESA ZENU ZIKO SALAMA HAZIJAIBIWA?

0

 Wakati watanzania wengi waliowekeza kwenye kampuni ya usambazaji wa bidhaa mtandaoni KALYNDA E COMERCE wakijawa na hofu juu ya mtandao wa kampuni hiyo kuonesha kutokufanya kazi vizuri kampuni hiyo imetoa taarifa rasmi kwa umma.

Kwa mujibu wa mtandao wa youtube wa KALYNDA E COMERCE wamethibitisha mfumo wa uendeshaji biashara mtandaoni wa Kalynda umedukuliwa hivyo kwa sasa wanafanya kila linalowezekana kurejesha mtandao huo hata hivyo kwa sasa wamelazimika kuzima kabisa mtandao huo ili kutoa fursa kwa mafundi kurejesha huduma .

Kujua mtandao unarejea lini bofya video hii kutazama.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top