KUNDI LA WATU WASIOFAHAMIKA WABOMOA OFISI YA CCM KINONDONI

0

 Kikundi cha Watu wasiofahamika mara moja kimevamia eneo la Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kinondoni kwa kuvunja Ofisi ya Chama hicho na kushusha Bendera yake kinyume na taratibu.


Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Mama Kate Kamba amesema uvamizi uliofanywa na kikundi hicho haukubaliki na wote waliohusika katika tukio hilo kwa kufanya uharibifu wameshabainika na hatua za kisheria dhidi yao zimeanza kuchukuliwa.

Kwa upande wake Mwanasheria wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Paul Joseph Mkenda amesema eneo hilo lina milikiwa na Chama cha Mapinduzi tangu mwaka 1971.
TAZAMA VIDEO HII
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top