Picha kutoka Maktaba
Taharuki kubwa imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamalulu kilichopo Kata ya Magenge wilayani Geita kutokana na mwili wa mtoto wa mwaka mmoja waliomaliza kuuzika mwili wake dakika na baada ya dakika chache kukutwa ukiwa ndani umelazwa kitandani.
MAKUBWA!! MTOTO AZIKWA NA KUKUTWA TENA CHUMBANI
09 October
0
Tags
Share to other apps