MILANGO YA HOSPITALI YAMCHEFUA WAZIRI MKUU 'HII INGOLEWE'

0

 

Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha kukerwa  na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. 

Aliagiza milango mibovu  iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. .

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top